Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini na yeye aliachia mkojo hadharani?Wanahabari hao wanachunguzwa kwa madai ya kuvujisha Video iliyosambazwa Mitandaoni Desemba 2022 ikimuonesha Rais #SalvaKiir akitokwa na haja ndogo hadharani, ingawa SSBC haikuonesha Video hiyo kwenye chaneni zake.
Kwani huyo rais alikwenda hiyo haja ndogo kwao au kule marekani. Clip iyotembea inaonyesha ni wakati akipokelewa marekani.Kiongozi wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa nchini humo, Patrick Oyet, ameripoti kuwa Wanahabari 5 wanashikiliwa na Idara ya #UsalamawaTaifa kuanzia Januari 3 na mmoja kuanzia Januari 4, 2023.
Shirika la Uangalizi wa Waandishi wa habari la Committee to Protect Journalists (CPJ) limetoa wito wa kuachiliwa kwa Wanahabari hao wanaofanya kazi na Kituo cha Utangazaji cha Sudan Kusini cha #SSBC, bila masharti.
Elijah Alier, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vyombo vya Habari na Mdhibiti Kisheria, alipopigiwa Simu alikataa kutoa maoni yake, akisema yuko nje ya ofisi.
Wanahabari hao wanachunguzwa kwa madai ya kuvujisha Video iliyosambazwa Mitandaoni Desemba 2022 ikimuonesha Rais #SalvaKiir akitokwa na haja ndogo hadharani, ingawa SSBC haikuonesha Video hiyo kwenye chaneni zake.
====================![]()
A journalists' union in South Sudan confirmed on Friday that six staffers with the national broadcaster have been detained in connection with footage apparently showing the country’s president urinating on himself during an event.
The South Sudan Broadcasting Corporation footage aired in December and was widely shared online. It showed 71-year-old President Salva Kiir standing during the national anthem and then looking down at what appeared to be a spreading stain before the camera turned away.
The Union of Journalists of South Sudan called for a speedy conclusion to the investigation into the staffers who it said are in the custody of the National Security Service (NSS). In a statement, the union said the staffers are suspected of having knowledge of the public release of “a certain footage.”
Calls to the NSS were not answered. Officials with the president’s office, and the national broadcaster refused to comment.
Kiir has been South Sudan’s only president since the country won independence from Sudan in 2011. The presidential election was recently postponed again, this time to late 2024, amid the slow implementation of a 2018 peace deal ending a five-year civil war.
Siyo 71, itakuwa ni zaidi ya 80..Ana miaka 71 na kumekuwa na mijadala mingi kuhusu afya yake.
Yote yanawezekana mkuu.Siyo 71, itakuwa ni zaidi ya 80..
Trump tu ana 77, itakuwa Biden..Yote yanawezekana mkuu.
Kama wachezaji wanafoji umri kwa nini viongozi washindwe.