Wanahabari wanaodaiwa kuvujisha Video ya Rais Salva Kiir akitokwa haja ndogo wakamatwa

Wanahabari hao wanachunguzwa kwa madai ya kuvujisha Video iliyosambazwa Mitandaoni Desemba 2022 ikimuonesha Rais #SalvaKiir akitokwa na haja ndogo hadharani, ingawa SSBC haikuonesha Video hiyo kwenye chaneni zake.
Kwanini na yeye aliachia mkojo hadharani?
Walioona na vyombo vilivyoona vina kosa gani?
Kimsingi huyo Rais alipaswa awajibishwe yeye kwa alichofanya hadharani siyo walioona
 
Safi kabisa tena wapewe adhabu kali iwe fundisho kwa wengine
 
Kwani huyo rais alikwenda hiyo haja ndogo kwao au kule marekani. Clip iyotembea inaonyesha ni wakati akipokelewa marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…