Daah nimesikitika kuona Land cruiser (hardtop)ikiwa imeharibika namna hiyo.Angalia hapo juu kwenye post
Nyie ni specie ya hovyo zaidi nchi hiiWAFEEE TU HAWANA MAANA KWA TAIFA
Hawana tofauti na aliye sema kifo ni kifo tu , ni jamii ya hovyo sana.Nyie ni specie ya hovyo zaidi nchi hii
HAHAHAHali ya gari ipoje?
Kwani kifo ni ufufuo!?Hawana tofauti na aliye sema kifo ni kifo tu , ni jamii ya hovyo sana.
Kifo ni kifo tu hivyo wafe tuKwani kifo ni ufufuo!?
Kilichoniuma ni hiyo hard top tu. Naitakia matengenezo mema na irudi tena barabarani kuendelea na majukumu mengine ya kuendeshwa.Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Iringa wamepata ajali ya gari leo Februari 5, 2026, wakati wakirejea kutoka kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), yaliyofanyika kimkoa katika Kata ya Idodi, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
Kwa mujibu wa taarifa tulizopokea hadi sasa, ajali hiyo imehusisha gari lililokuwa limewabeba Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Joseph Nzala Lyata, pamoja na waandishi wa habari akiwemo Frank Leonard, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa na mwandishi wa magazeti ya Serikali; Denis Mlowe wa Fullshangwe Blog; Clement Sanga wa Channel Ten; Herieth Mola wa Mkombozi Online TV; pamoja na Zuhura Zukheri wa Abood TV.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa hakuna kifo kilichotokea katika ajali hiyo. Hata hivyo, jitihada zinaendelea kufanyika ili kupata taarifa kamili kuhusu idadi na hali ya majeruhi.
View attachment 3539618
Wakaenda kwenye sherehe ya 'chama cha mauaji' walitegemea nini?Wanahabari wapata Ajali wakitoka kwenye sherehe ya CCM
Ndio sisi ni reptiles na amphibians lakini tuna utu. Kuliko nyie mammalia uchwara.Nyie ni specie ya hovyo zaidi nchi hii
Utu kufurahia ajali na vifo?Ndio sisi ni reptiles na amphibians lakini tuna utu. Kuliko nyie mammalia uchwara.