Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Kuharibu mali ni mbaya sana kama wale vijana wa 29 OctoberNyie ni specie ya hovyo zaidi nchi hii
AmenNatoa pole kwa Gari na Uharibifu wa Maliasili kama majani na miti ilio Haribika kwa Upumbavu wa wapumbavu wachache
wazee wa double standards, mkija kwenye waandamanaji mnaanza "hakuna kitu cha thamani kama uhai wa mtu"Wamekufa wangapi?
Nashangaa eti wote majeruhi, very bad news indeed!Wamekufa wangapi?
Hunaga akili wewe. Umejaa liroho la kichawi na kishetaniWamekufa wangapi?
KawafukueMjinga mkubwa wewe, Yaani Watanganyika mmewauwa maelfu kwa maelfu na mmefanya kusherehekea na kuwafanya kwamba si watanganyika, wakati huo huo mmewazika kwenye kaburi la khalaiki
Kumbe ikitokea kwenu mnaumia?
Pumbavu kabisa
Tuombe Mungu gari lilirudi barabarani salama Ila hao wengine lolote baya yawakuteDaah nimesikitika kuona Land cruiser (hardtop)ikiwa imeharibika namna hiyo.
Ipelekwe garage haraka sana na ipewe huduma ya VIP