Wanahabari wetu kuweni makini kutuhabarisha

Wanahabari wetu kuweni makini kutuhabarisha

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Leo katika kipindi cha magazeti cha Radio Free kurasa za michezo mdada kanisitua baada ya kusema 'Ansufati anatabiri timu yake kuchukua ubingwa wa ligi ya England', akisema habari hiyo ni ya gazeti la Uhuru.

Juzi kwa maana ya Jumapili, tumecheza na timu ya Levante tukiwa nyumbani na kuwafunga 3 bila, goli la tatu kafunga Ansu na mechi ilianza saa 11 jioni kwa saa zetu.

Bahati mbaya sijaliona gazeti la Uhuru la leo ili kujiridhisha lakini hata kama mwandishi alikosea wewe msomaji huwezi sahihisha?

Mchezaji Ansu yupo timu ya Barca ambayo pamoja na Levante zipo Hispania na ligi yao inafahamika kama La Liga.
 
Sio kila mwana habari ni mwanamichezo wa mpira wa miguu. Kasoma kilichoandikwa.
 
Sio kila mwana habari ni mwanamichezo wa mpira wa miguu. Kasoma kilichoandikwa.
Sawa lakini kama mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru kaandika hivo ni balaa.
 
Back
Top Bottom