Wanahakati wa siasa bongo jau sana


Unapiga kwenye mshono, mkuu 😁😁😁
 
Cdm kitu wamekosa ni ujasusi ndani ya chama na unafki , unapompiga adui usichague sehemu ya kupiga
 
Cdm kitu wamekosa ni ujasusi ndani ya chama na unafki , unapompiga adui usichague sehemu ya kupiga
Bwashe tuchangie chama πŸ˜‚

Bila hela kuna mambo ni magumu kutekelezwa.

Walahi CDM ikifanikiwa kufutwa watu wote wakanyamazishwa, hakuna rangi tutaacha kuona. Kama tunaipenda Tz, tunataka kulea watoto Tz tusapoti upinzani.
 
Unapiga kwenye mshono, mkuu 😁😁😁
Bwashee hii nimepiga kwenye kitovu ya mtoto kinachokatwa baada ya uzazi na watekaji wamewasha magari safari yao, niokotwe katavi ablada kichwa tu 🀣🀣🀣
 
Bwashe tuchangie chama πŸ˜‚

Bila hela kuna mambo ni magumu kutekelezwa.

Walahi CDM ikifanikiwa kufutwa watu wote wakanyamazishwa, hakuna rangi tutaacha kuona. Kama tunaipenda Tz, tunataka kulea watoto Tz tusapoti upinzani.
Bwashee chama nachangia vibaya mno
 
Tunajua no free lunch lakini anatusaidia mdogo mdogo,bila wao sijui hata hii JF kama ingekuwepo na lissu wangeshamzika zamani
Bwashee , upambanaji wa kweli , utatoka ndani wazungu au hao unaowategemea utajuaje wameshakaa meza moja na watesi wetu, mambo yameenda classified , kwa maslai yao , zilizo baki ni Drama tu?
 
Jau ni nini?
Wanaharakati wa siasa wa bongo, yani wanatupigisha fantasy ya ajabu sanaπŸ˜…

Oooohh mahakama ya the hegi😁

Eti Marekani wanasikia kilio chetu, gademitt, wapi ulisikia Marekani anajali nyumbu yeyote zaidi ya maslai yake? Hatuwezi jipambania wenyewe, sisi tutabaki kama washika mapembe na wapiga ramli tu, wazee wa code Uchwara gademitt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…