Wanaharakati huru bado wanahitajika?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Jamani kitimtim tumekiona wote kundi la wanaojiita wanaharakati huru wakifanya yao kuunga juhudi na kushambulia watu kwa mdomo.

Je, bado wanaharakati wa kiwango kile wanayo nafasi kwenye zama hizi?
 
Jamani kitimtim tumekiona wote kundi la wanaojiita wanaharakati huru wakifanya yao kuunga juhudi na kushambulia watu kwa mdomo.

Je, bado wanaharakati wa kiwango kile wanayo nafasi kwenye zama hizi?
Waonye maana wamepora kazi ya MATAGA
 
Mwanaharakati Huru Mkuu Musiba amepotea kwenye ramani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…