Igweeeee
Kuna kipindi hawa wanaharakati wa mitandaoni walijaribu kuiaminisha jamii kwamba wakikomalia jambo lazima walifanikishe lakini sijawahi kuona mafanikio yao tangu maandamano ya mange kimambi, kumdisqualify diamond, na sasa Mbowe si gaidi
Hao wanachama wa chadema ndio kwisha kabisa kwani kila wanalolipanga huishia kuwa ni aibu,, watu waandame hawataki, watu wajitokeze mahakamani nako pia hawataki
Kwa sasa wamefail tena katika hili la Mbowe si gaidi na wameamua kumtelekeza rasmi huku wakijifanya wao ndio wanaMungu pekee wamemtwisha zigo kana kwamba watanzania wengine hawana Mungu
Tuliwaonya mapema, siasa za mitandaoni hazilipi! mtu yupo kwa mabeberu amshawishi mtu wa vingunguti kuandamana hii haiwezekani!
Siasa na harakati zinawahitaji muingie field, ona sasa Mwenyekiti katelekezwa sasa hakuna kinachoendelea kama chama kumpigania. wooote kimyaaaaa imebaki jamhuri tu ndiyo inaunguruma