May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Sipingani na unavyosema Mzee Said, ila kwa yale nisiyokubaliana na wewe kwenye historia ya TAA na baadae TANU yatabaki pale pale...na wala sitarajii kubadilisha msimamo wangu.May Day,
Mimi si kama najipigia zumari yaani "blowing my own trumpet."
Hii historia naijua vizuri sana kwa kuwa nimeishi ndani yake.
Tabu sana kwa mtu kushindana na mimi katika historia ya TANU na historia ya uhuru wa Tanganyika akanishinda.
Wakati mwingine hufupisha majibu kwa kuchelea kuwachosha wasomaji wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app