Nakumbuka siasa hizi za kiharakati zilianzia vyuo vikuu vijana wasomi na ma professor wahadhiri haswa wa UD na pale UDOM mambo yalikuwa moto moto sana, Mpango wa vyama vya upinzani haswa CHADEMA ulifaulu kwa 80%
Chini ya ukatibu wa Dr wa mihogo kulipatikana kina ZItto kina Juliana Shonza kina Kitila kina Msafiri Mtemelwa, Henry Kilewo kina Yeriko Nyerere, Ben Sanane Patroas John Heche Mnyika Tundu Lisu na wengineo, hiki kilikuwa kizazi Cha dhahabu cha siasa za nchi hii. Hawa walileta mapinduzi makubwa ktk siasa za nchi hii ikifika mahali hiyo mwaka 2010 ukionekana na sare za CCM haswa kwa miji ya Arusha Dar Mwanza na Mbeya eitha utazomewa au itachanwa
Ila kwa maoni yangu Mbowe na hayati Madufuli ndiyo wameuwa upinzani, M\kiti Mbowe kitendo Cha kudanganywa na Lowasa chama kutoka ktk siasa za kiharakati eti kwenda ktk siasa za kisayansi hii ilikuwa big mistake. Ni harakati pekee na misimamo mikali ndiyo itakiondosha CCM
Njooni Tena wanaharakati niliowataja na niliowasahau tuunde chama kipya tuikomboe nchi yetu kwenye mikononi mwa adui CCM.