Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
The new queen bee 🐝 in the apiary…
She is soft…she is amenable…she is not hardheaded…she is a mother…she doesn’t yell, scream, or scold anybody…she is this, that, and the third!
Sasa endeleeni kukandamiza enyi wanaharakati. Pigeni kelele kwa sauti kubwa. Ikibidi hata mjigalagaze mabarabarani.
Huyu mama ni mlaini na ni msikivu sana.
Si mnaona sasa jinsi mambo yalivyo? Mkipiga mayowe kidogo tu huku mtandaoni ambako naye yupo, anayafanyia kazi hayo mayowe yenu!
Basi kazeni buti sana. Mpigieni makelele mpaka tupate katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kabla ya 2025.
Hana kabisa ubavu wa kukataa au kujifanya hazisikii kelele zenu.
Mkomalieni mpaka kieleweke.
Ichukueni hii na muifanye iwe kauli mbili yenu kuanzia sasa:
No katiba mpya, no tume huru ya uchaguzi, NO PEACE!
Yawezekana akawa flexible kuruhusu hilo ila tatizo ni namna ya kumdhibiti aliyeshika remote control yetu