Wanaharakati pazeni sauti kuhusu Katiba Mpya, Rais ni msikivu atawasikiliza

Yawezekana akawa flexible kuruhusu hilo ila tatizo ni namna ya kumdhibiti aliyeshika remote control yetu
 
Wapinzani sasa enzi ya dikteta haipo sasa piganieni uhuru wa kweli mliohubiri kitambo [emoji848]
 
Mayowe yanayopigwa sasa hivi, baada ya yeye kuchukua usukani, siyo yanayomfanya atende. Mheshimiwa Samia anarekebisha makosa yaliyofanywa na Magufuli, ambayo wanaharakati, wanasiasa na raia wa kawaida walikuwa wanayapigia kelele lakini Magufuli akafumba macho. Haya malalamiko yalikuwepo siku nyingi na yeye inaonekana alikuwa anayaunga mkono kabisa ila yule mwendazake alikuwa hasikii lolote.
 
Wapinzani sasa enzi ya dikteta haipo sasa piganieni uhuru wa kweli mliohubiri kitambo [emoji848]
Usihofu. Mheshimiwa Samia ana busara na anajua ni nini maana ya uongozi. Atarekebisha makosa ya mwendazake bila kumsema vibaya au kumsimanga kama alivyofanya mwendazake kwa watangulizi wake. Uhuru hupiganiwa pale ambapo mtu amenyimwa uhuru. Yeye keshasema atafanya mazungumzo na wapinzani na kuwashirikisha kwenye uongozi. Ni busara kumpa muda ili ijulikane ni kipi kimetekelezwa na ni kipi hakijatekezwa. Pole naona roho inakuuma sana kila ukiona wapinzani wanaanza kuthaminiwa. Kosa ni lenu. Mlimwimbia mapimbio mwendazake akalewa sifa kuwa ameshinda corona kumbe ikaja kumshinda yeye.
 
Kuna wale waluopanga ati Raisi Samia Suluhu awe wa Awamu moja

Ni vizuri Mama nae amwage Mboga kwa kutupa Tume Huru na Katiba mpya Mujarabu atakuwa amewaweza kinoma
Ina maana nyie CDM hamna mpango wa kutwaa kiti cha urais 2025!??
mmesharidhika...!?
mbona wepesi sana nyie
 
Ina maana nyie CDM hamna mpango wa kutwaa kiti cha urais 2025!??
mmesharidhika...!?
mbona wepesi sana nyie
Tunataka tuingize Wabunge wengi Bungeni kwanza Uraisi utakuja tu sio wa kulazimisha kama ccm
 
Kwenye napata ukakasi sana hii ambayo inamapungufu haeaitimizi je iyo mpya wataifwata kweli?
 
Hii nchi sio ya wapinzani peke yao, ni ya watoto wa mke wako na wa michepuko wako pia wanaoshinda kutwa shuleni bila chakula.

Ni ya bibi yako pia asiye na maji ya bomba

Ni ya baba yako anayezunguka kutwa akifuatilia mafao yake ya pensheni.

Ni ya mdogo aliyekosa mkopo wa kusoma chuo.

Ni ya dada yako anayedanga kwa kukosa ajira.
Wapinzani sasa enzi ya dikteta haipo sasa piganieni uhuru wa kweli mliohubiri kitambo [emoji848]
 
Mataga hamtaki katiba mpya??Mbona mnawaachia katiba mpya wanaharakati peke yao!

Wewe usingependa ukishazeeka na kibiongo chako kwa kubeba box huko kwa Biden urudi kupumzika katika nchi yenye uhuru ulio sawa na first ammendment?
 
Niaje kamanda?? Bado unavaa gwanda?
 
Ondoka huko Denmark kajengee kaburi la Baba yako kule chato. Limezungushiwa mabati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…