Wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter

Wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter

Twitter japo mnaiponda lakini inawakera, mnatamani isiwepo kabisa.

Hilo nimethibitisha leo kwenye hotuba ya jamaa aliposema "haki huendana na wajibu", tena akarudia mara mbili na kusisitiza nadhani nimeeleweka, hapo alikuwa anawajibu wale wasumbufu kule twitter.

Sauti ya mtu huwezi kuidharau, hata mkiwepo mia moja na kati yenu akawepo mmoja anaewapinga mtamsikia tu, na atawakera pamoja na nguvu zenu, matokeo yake hamtapata usingizi mzuri mkilala usiku na ndicho kinachokupata Ngabu.
Mnajuwa kujifariji katika upumbavu wenu.
 
Back
Top Bottom