Wanaharakati wa Palestina mbona hamkupiga kelele watoto wa Yemen kufa na utapiamlo kutokana na vita ya Houthi?

Wanaharakati wa Palestina mbona hamkupiga kelele watoto wa Yemen kufa na utapiamlo kutokana na vita ya Houthi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
20241008_101619.jpg

Mimi kila siku nawaambia kuwa harakati yenu sio kuhusu haki wala ukombozi wowote. Harakati yenu ni ya itikadi na chuki. Full stop.

Hamkuandamana kabisaa wala kuanzisha nyuzi nyingi kumshutumu houthi kama vile mnavyo mshutumu israel.

Kwa nini? Eti kisa ni Muyahudi. Hio inaprove unafiki na utapeli wenu.

Screenshot_20241008-101652.png
 
View attachment 3118519
Mimi kila siku nawaambia kuwa harakati yenu sio kuhusu haki wala ukombozi wowote.

Harakati yenu ni ya itikadi na chuki. Full stop.

Hamkuandamana kabisaa wala kuanzisha nyuzi nyingi kumshutumu houthi kama vile mnavyo mshutumu israel.

Kwa nini? Eti kisa ni Muyahudi.

Hio inaprove unafiki na utapeli wenu
View attachment 3118520

Nani anaweza kuwapo kote kujua yote kila wakati na wakati wote.

Si ndiyo maana panapo nia njema inabidi kusaidiana sote?

Kwani ulidhani Kuna mashindano kwenye kuwaongelea watesekao popote?

Vipi ndugu wewe ulipoyaona hayo uliyaongelea popote?

Au ndiyo ulikuwa kimya kama unavyoendelea kuwa katika haya wanayosemea wengine leo?
 
View attachment 3118519
Mimi kila siku nawaambia kuwa harakati yenu sio kuhusu haki wala ukombozi wowote.

Harakati yenu ni ya itikadi na chuki. Full stop.

Hamkuandamana kabisaa wala kuanzisha nyuzi nyingi kumshutumu houthi kama vile mnavyo mshutumu israel.

Kwa nini? Eti kisa ni Muyahudi.

Hio inaprove unafiki na utapeli wenu
View attachment 3118520
Bongo kuna activists au waganga njaa tu?
 
Back
Top Bottom