View attachment 3118519
Mimi kila siku nawaambia kuwa harakati yenu sio kuhusu haki wala ukombozi wowote.
Harakati yenu ni ya itikadi na chuki. Full stop.
Hamkuandamana kabisaa wala kuanzisha nyuzi nyingi kumshutumu houthi kama vile mnavyo mshutumu israel.
Kwa nini? Eti kisa ni Muyahudi.
Hio inaprove unafiki na utapeli wenu
View attachment 3118520