kapongoliso
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,353
- 489
Watesi wa Lisu wanaanza kujitokeza mmoja baada ya mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama na wewe unajua tume ya uchaguzi (NEC) siyo huru , unajivuna nini ?!. Kama harakati zote zimepigwa marufuku unawalaumu nini wapinzani il hali wanazo kesi za uchochezi za kutosha ?!Upumbavu tu! Badala ya muanze kujipanga kwa ajili ya uchaguzi wa selikali za mtaa ambao ndio utatoa muelekeo wa uchaguzi mkuu nyie mnahangaika na hoja za kipumbavu kama hizi!
Huwa nawauliza kila siku kwamba hivi hizi hasira zenu Mngekuwa mnazionesha kwenye hoja ya kudai tume huru ya uchaguzi au hata katiba mpya si Mngekuwa mmefika sehemu inayoeleweka?
Sasa kuonesha hasira yako kwa kitu cha kipumbavu kama hiki si unaonekana mpumbavu zaidi?
Ccm siyo kwamba inatawala nchi hii sababu inapendwa hapana! Ni kwamba hao tunaosema wangekuwa ndio mbadala mmejaa upumbavu mtupu.
Wafungue haraka ili tuwajue. Siku Jiwe akiondoka tujue tunaanzia wapi kuisafisha nchi.Muda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe kama aliyasema haya akiwa mzima au alikuwa amechanganyikiwa siku amekanyaga uwanja wa ndege Terminal3 inatakiwa anyang'anywe Passport ya kusafiria
Hao wanaharakati uchwara ni mapungaseseMuda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe kama aliyasema haya akiwa mzima au alikuwa amechanganyikiwa siku amekanyaga uwanja wa ndege Terminal3 inatakiwa anyang'anywe Passport ya kusafiria
Wanamshitakije lissu wakat 2020 anaingia ikulu? Hao wanaoandaa huo wehu watafute uhamishoni mapemaMuda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe kama aliyasema haya akiwa mzima au alikuwa amechanganyikiwa siku amekanyaga uwanja wa ndege Terminal3 inatakiwa anyang'anywe Passport ya kusafiria
Kweli Lisu ni kiboko yao wamechukua ubunge na bado hawajiamini! Kweli Magu anamuogopa Lisu kuliko tunavyo fahamuMuda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe kama aliyasema haya akiwa mzima au alikuwa amechanganyikiwa siku amekanyaga uwanja wa ndege Terminal3 inatakiwa anyang'anywe Passport ya kusafiria
Kama walishindwa kutoa roho yake hata hili watashindwa muda ni mwalimuNaona aibu Kama hoja hii nimeianzisha Mimi!
Mleta hoja, nilidhani Una umaskini Wa kipato tu kumbe hata Wa akili umetamalaki?
Tafuta kazi ya kufanya dogo uingize japo jero kuliko kujipendekeza na kujidhalililsha hivi!
Hata hivyo tunashukuru kwa kutuwekea mpango wenu mlionao juu ya Lissu na tafadhali Kama mnao mwingine siyo vibaya mkatujulisha kwa njia hii! Oneni aibu enyi wenye nia ovu kumshinda shetani kwa kujiona MNA haki kuliko wengine! Wenzenu wanapanga mipango ya kuinua uchumi ninyi mpo na kumkwamisha na kumuumiza Lissu! Yana mwisho haya!
Basi subirini ccm itawaruhuru muendelee na mikutano na pia itawaita mezani muunde tume huruKama na wewe unajua tume ya uchaguzi (NEC) siyo huru , unajivuna nini ?!. Kama harakati zote zimepigwa marufuku unawalaumu nini wapinzani il hali wanazo kesi za uchochezi za kutosha ?!
Rubbish!Muda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe kama aliyasema haya akiwa mzima au alikuwa amechanganyikiwa siku amekanyaga uwanja wa ndege Terminal3 inatakiwa anyang'anywe Passport ya kusafiria
Halafu, cause of action / locus stand ni ipi katika upuuzi huoThe right to dissent is one of the most important rights guaranteed by our Constitution. As long as a person does not break the law or encourage strife, he has a right to differ from every other citizen and those in power and propagate what he believes is his belief.
JAJI DEEPAK GUPTA, JAJI WA MAHAKAMA YA JUU YA INDIA ALINUKULIWA AKISEMA HAYO KWENYE KONGAMANO LA UHURU WA HABARI NA SHERIA YA UCHOCHEZI, SIO MBAYA TUKIAZIMA BUSARA HIZO
Hiyo ndiyo Africa !!. Maanake unaona ccm hawawezi kubadilika bila violence. Hatuwezi kujifunza kutokana na makosa ya wengine.Basi subirini ccm itawaruhuru muendelee na mikutano na pia itawaita mezani muunde tume huru