Tetesi: Wanaharakati wanaomtetea Rais kumfungulia kesi Tundu Lissu ya kumzushia uongo kumkashifu na kumkumvunjia heshima Rais Magufuli

Kama na wewe unajua tume ya uchaguzi (NEC) siyo huru , unajivuna nini ?!. Kama harakati zote zimepigwa marufuku unawalaumu nini wapinzani il hali wanazo kesi za uchochezi za kutosha ?!
 
Je wanaharakati watakuwa na ubavu wa kusimama kujibu "counter offensive" ya TL mwenyewe, Kibatala, Mallya, Kambole nk. itakayotokana na hoja zao?! maana zisije zikawaumbua wale wale ambao wanaharakati wanakusudia kuwatetea na kuwalinda?!
Wahenga waliposema "funika kombe mwanaharamu apite" walikuwa na maana yao kubwa sana!
 
Mataahira kweli hawa wamemshindwa kwa risasi watamuweza kwa sheria,Pumbabu kabisa.
 
Kwa risasi mmeshindwa ubunge mmenyanganya, sasa .mnaweka vitisho ili asirudi nchini, Tz yetu wote!!
Mbinu za kishetani hizo.
Alichopanga Mungu mwanadamu ni vigumu kupangua.
Mtoto wa Tshekedi ni Rais wa Kongo sasa!!
 
Wafungue haraka ili tuwajue. Siku Jiwe akiondoka tujue tunaanzia wapi kuisafisha nchi.
 
Hao wanaharakati uchwara ni mapungasese
 
Wanamshitakije lissu wakat 2020 anaingia ikulu? Hao wanaoandaa huo wehu watafute uhamishoni mapema
 
Kweli Lisu ni kiboko yao wamechukua ubunge na bado hawajiamini! Kweli Magu anamuogopa Lisu kuliko tunavyo fahamu
 
Kama walishindwa kutoa roho yake hata hili watashindwa muda ni mwalimu
 
Kama na wewe unajua tume ya uchaguzi (NEC) siyo huru , unajivuna nini ?!. Kama harakati zote zimepigwa marufuku unawalaumu nini wapinzani il hali wanazo kesi za uchochezi za kutosha ?!
Basi subirini ccm itawaruhuru muendelee na mikutano na pia itawaita mezani muunde tume huru
 
Rubbish!
 
Halafu, cause of action / locus stand ni ipi katika upuuzi huo
 
Basi subirini ccm itawaruhuru muendelee na mikutano na pia itawaita mezani muunde tume huru
Hiyo ndiyo Africa !!. Maanake unaona ccm hawawezi kubadilika bila violence. Hatuwezi kujifunza kutokana na makosa ya wengine.

Wapinzani wa Tz waungwana sana. Na wako tayari kupoteza ilmradi kulinda amani. Hiki watawala wa ki Africa especially Tanganyika hawaioni.
 
Vibaraka wa udikteta uchwara ndio wanajiita wanahsrakati? Wanaharakati wa kulinda status quo? Hao ni vibaraka wapinga maendeleo, wakombi, wanafiki, wasaka tonge, ni wakandamizaji wa haki za wavuujajasho, wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wavuvi, wanawake na watoto. Wanaharakati kama Tundu wanasaidia emancipation ya watu wa makundi yanayobagazwa, kutweka, kutekwa, kuuliwa, kufunguliwa mashitaka ya kubambika, kunyimwa ajirs, kubaguliwa, na kukandamizwa kwa haki zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…