Wanaharakati wanataka kuizika Chadema kama NCCR Mageuzi?

Hii hoja labda ingekuwa na mashiko kabla ya Lissu kugombea uenyekiti.

In fact, kabla ya Lissu kugombea uenyekiti, hata mimi nilisema watu wanaomtaka Mbowe aondolewe kwenye uenyekiti walikuwa hawana legitimacy katika chama, kwa sababu kwenye chama kulikuwa hakuna mtu aliyechukua fomu kumpinga Mbowe.

Baada ya Lissu kugombea uenyekiti, issue ya Mbowe kupingwa si ya wanaharakati wa mitandaoni tu, ni issue ambayo imekubalika mpaka na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA.

Kwa hivyo, msiidogoshe kusema ni ya wanaharakati tu.
 
Kwani ni dhambi mwanachama mwingine zaidi ya Mbowe kuomba kuchaguliwa kuwa mwenyekiti? Kwa nini tusisubiri wajumbe wafanye kazi yao kesho kutwa ?
 
Hawa wahadhiri wengi tumesoma nao full kudesa...wakaingia kwenye mitihani na madesa! Sio kila msomi anatumia Akili
 
Kamwe hawawezi
 
Wanaharakati wanaoutumia uharakati vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…