Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Mfano G. Malisa, Mwanamapinduzi Singida, kifupi polisi wameshapewa order toka juu kukamata wanaharakati wote ambao wanachipukia na wakosoaji wa serikali.
Hali hii itarudi kwa kasi kabla ya Uchaguzi wa Mkuu 2025 lengo ni kuwatoa watu kwenye mstari. Hivyo basi watu wawe makini katika shughuli za uharakati maana taa nyekundu imewashwa Magogoni.