Mf;G.Malisa ,Mwanamapinduzi Singida kifupi police wameshapewa order toka juu kukamata wanaharakati wote ambao wanachipukia na wakosoaji wa serikali hali hii itarudi kwa kasi kabla ya uchaguzi wa mkuu 2025 lengo kuwatoa watu kwenye mstari hivyo basi watu wawe makini, katika shughuli za uharakati manake taa nyekundu imewashwa magogoni.