Wanahistoria na akiolojia (Archeologist) " Moses did not exist

Niliwahi kusoma mahali pia kuhusiana na hili kuwa bwana Moses wenyeji wa kule Egypt hawana taarifa zake ila wasio wa kule ndo wana taarifa zake. Kivipi? Sijui
Hakuna mtu hai mwenye taarifa hai za Moses,aliyeishi miaka zaidi ya elfu 4 iliyopita,ni kupitia maandiko tu,Sasa kama mtu kagoma kusoma maandiko atajuaje habari za Moses!!!
 
Wana nzuoni (scholars) wakongwe wa historia na akiolojia wana kubaliana kwamba Moses anae tajwa kwenye bible na Qur'aan hajawahi ku- exist. Ni fictional character yani ni character wa kutungwa.

Wana sema there is no historical Moses. There is only biblical Moses.

Hata ukienda kwenye vitabu vya historia vya Egypt, hakuna records za mtu aitwae Moses kama ilivyo andikwa kwenye bible na Qur'aan.

Ngastuka na machale kundesa
walifanikiwa kumchora YESU kufanana na mzungu,,,,sasa kwa MUSA wmwfeli ndo manake wameanza fitna!!
 
Hata imani za uongo zipo pia mkuu
Kuna imani ya kweli na imani ya uongo mkuu?
Imani inaweza kufanya kazi kwako kwa mwingine ikakataa.
Kuna watu wanarogeka wengine hapana
Kunawatu wanashukiwa sijui na roho mtakatifu wengine hapana

Kwa mantiki hiyo kila mtu abakie anacho amini.
Haya mambo ni magumu sana
 
Wana nzuoni (scholars) wakongwe wa historia na akiolojia wana kubaliana kwamba Moses anae tajwa kwenye bible na Qur'aan hajawahi ku- exist. Ni fictional character yani ni character wa kutungwa.

Wana sema there is no historical Moses. There is only biblical Moses.

Hata ukienda kwenye vitabu vya historia vya Egypt, hakuna records za mtu aitwae Moses kama ilivyo andikwa kwenye bible na Qur'aan.

Ngastuka na machale kundesa
Absolutely true

Hakuna ukweli wowote wa hadithi ya Mussa.

Ispokuwa ni hadithi za kiimani tu zilizotungwa na watu.

Katika ulimwengu halisia, Habari za kuona kichaka kina moto na hakiungui hizo ni kamba tu

Miaka ya nyuma nliwahi kuhoji kama Moses hakuwa anavuta bhangi, lakini waamini walinishambulia
 
Ukitulia utagundua hao unaowaita waisrael sio Hawa wa kwenye bible.wale akina netanyahu ni wahamiaji tu.
Story za vijiwe vya kawaha mkuu ,tembelea hizo nchi utaona kabsa wapo tofauti na wazungu, japo wengi wamezaliana na wazungu, wengi wao ni ngumu kuwatofautisha na watu wa Irani.
 
Wana nzuoni (scholars) wakongwe wa historia na akiolojia wana kubaliana kwamba Moses anae tajwa kwenye bible na Qur'aan hajawahi ku- exist. Ni fictional character yani ni character wa kutungwa.

Wana sema there is no historical Moses. There is only biblical Moses.

Hata ukienda kwenye vitabu vya historia vya Egypt, hakuna records za mtu aitwae Moses kama ilivyo andikwa kwenye bible na Qur'aan.

Ngastuka na machale kundesa
Sasa habari za Mussa unaenda kuzitafutia misri uzipataeje? Mbona ni jambo lisilo na msingi kiasi hicho? Mambo ya israel katafute kwenye historia ya israel, nao kwa kias kikubwa wamepoteza kwa sababu ya kuhama hapa kwa maisha yao! Hata sanduku la agano liMepotea kwa sababu hizo
 
Kwani hujui kuwa story ya Mussa inasema Mussa alizaliwa Misri alikulia Misri na hakuwahi kufika Israel
 
Uzuri wa hivi vitu kuamini sio lazima ni option

Hakuna mtu atakaye kushikia panga kukulazimisha uamini kuwa Musa aliwahi kuwepo
Weee, nani Kwa kwambia chuo wanapiga viboko cjawai ona
 
Sasa habari za Mussa unaenda kuzitafutia misri uzipataeje? Mbona ni jambo lisilo na msingi kiasi hicho? Mambo ya israel katafute kwenye historia ya israel, nao kwa kias kikubwa wamepoteza kwa sababu ya kuhama hapa kwa maisha yao! Hata sanduku la agano liMepotea kwa sababu hizo
Musa Maisha mengi ameishi misri, huko Israel Hata hakukanyaga kabisa
 
Sio Musa hata Yesu hajawawi kuwepo hizo ni habari za kutungwa ambapo biblia imekopi kutoka katika vitabu vingine na Quran imekopi ktk biblia
 
Wana nzuoni (scholars) wakongwe wa historia na akiolojia wana kubaliana kwamba Moses anae tajwa kwenye bible na Qur'aan hajawahi ku- exist. Ni fictional character yani ni character wa kutungwa.

Wana sema there is no historical Moses. There is only biblical Moses.

Hata ukienda kwenye vitabu vya historia vya Egypt, hakuna records za mtu aitwae Moses kama ilivyo andikwa kwenye bible na Qur'aan.

Ngastuka na machale kundesa
Vitabu vya kiroho vina kasoro nyingi za kimwili
 
Back
Top Bottom