Wanahitajika Madereva 200 wa Malori

Wanahitajika Madereva 200 wa Malori

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200

Eneo la usahili: Dar es salaam.

Vigezo:
-Uwe na umri kuanzia 30- 45
-Uwe na leseni hai ikiwa na Class E pamoja na C
-Uwe na cheti cha kibali cha polisi (Police Clearance Certificate)
-Uwe Mzoefu kwenye barabara kubwa za Tanzania kwa mdaa mrefu pamoja na baadhi ya nchi za jirani.
-Uwe Mzoefu wa kuendesha gari kati ya SCANIA, HOWO, FAW au gari za kichina unayoiweza
-Uwe mstaarabu na muaminifu.

Mshahara: Ni mzuri sana
+ Unapewa NSSF pamoja na Bima ya Afya.

Gari zote ni mpya namba E, utakabidhiwa gari jipya na vifaa vyote vipya.
Na mwenye Hati ya kusafiria (Passport) atapewa nafasi ya ziada.

PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0716789438/062 087 431

Source: BENEDICT KIMBUSU on LinkedIn: Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200 *Eneo la…
 
Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200

Eneo la usahili: Dar es salaam.

Vigezo:
-Uwe na umri kuanzia 30- 45
-Uwe na leseni hai ikiwa na Class E pamoja na C
-Uwe na cheti cha kibali cha polisi (Police Clearance Certificate)
-Uwe Mzoefu kwenye barabara kubwa za Tanzania kwa mdaa mrefu pamoja na baadhi ya nchi za jirani.
-Uwe Mzoefu wa kuendesha gari kati ya SCANIA, HOWO, FAW au gari za kichina unayoiweza
-Uwe mstaarabu na muaminifu.

Mshahara: Ni mzuri sana
+ Unapewa NSSF pamoja na Bima ya Afya.

Gari zote ni mpya namba E, utakabidhiwa gari jipya na vifaa vyote vipya.
Na mwenye Hati ya kusafiria (Passport) atapewa nafasi ya ziada.

PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0716789438/062 087 4313
Wajiandae kutapeliwa, yaani hapo utaambiwa tuma vyeti, leseni, baada ya hapo cheti cha fire, so hivyo vyeti watu wengi havijawa certified na wanasheria so tapeli wewe utawaambia watume hela vigongwe mhuri wa mwanasheria na kila cheti ni shs 10,000 mpaka 30,000, kama hana cheti cha fire ni kama 40,000 mpaka 50,000, baada ya hapo tapeli wewe utapotea.
 
Ni kweli kwamba wewe ni tapeli Kama wasemavyo watu hapa ?
Kama kweli ni tapeli jibu haraka maana nawatafuta watu Kama nyie
 
Wajiandae kutapeliwa, yaani hapo utaambiwa tuma vyeti, leseni, baada ya hapo cheti cha fire, so hivyo vyeti watu wengi havijawa certified na wanasheria so tapeli wewe utawaambia watume hela vigongwe mhuri wa mwanasheria na kila cheti ni shs 10,000 mpaka 30,000, kama hana cheti cha fire ni kama 40,000 mpaka 50,000, baada ya hapo tapeli wewe utapotea.
Labda kama humjui huyu member,sio umdhaniavyo
 
Niko chini ya 30 ila nmeendesha oversize tairi 44 trip nlizopiga ni Stuttgart city(German) kwenda Tremola(Switzerland) kwa zaidi ya mwaka mmoja njia zenye milima na kona kali mizigo yenye tons 70+ vipi naweza kupata kazi?
 
Hivi huu msemo una maana gani hasa Mkuu
mtu pekee ndiye awezaye kufanya kazi, mnyama anaweza kufanya kazi ila huwa hajui kama anafanya kazi, ndio maana huwa hawezi kudai malipo/mshahara.

kufanya kazi kwa mtu kulianzia pale kwenye bustani ya Edeni, pale ambapo Adamu alipoambiwa na Bwana Mungu ailime na aitunze bustani. MWANZO 2:15

“Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza.

— Mwanzo 2:15 (Biblia Takatifu)

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Mbona unafichaficha taarifa hakuna Jina la kampuni Wala email address kwaajili yakutuma maombi ungeweka Kila kitu wazi mambo yakupiga simu kwaajili ya maelezo zaidi hiyo ni njia Mojawapo wanayoitumia matapeli
 
Ninachojua mimi kazi za tanzania haziitaji vigezo zinatakaga co@d§¤e plas one gawa kwa 200 jumla dolla 30 huyu si tapeli huyu ni dalali
 
Back
Top Bottom