Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200
Eneo la usahili: Dar es salaam.
Vigezo:
-Uwe na umri kuanzia 30- 45
-Uwe na leseni hai ikiwa na Class E pamoja na C
-Uwe na cheti cha kibali cha polisi (Police Clearance Certificate)
-Uwe Mzoefu kwenye barabara kubwa za Tanzania kwa mdaa mrefu pamoja na baadhi ya nchi za jirani.
-Uwe Mzoefu wa kuendesha gari kati ya SCANIA, HOWO, FAW au gari za kichina unayoiweza
-Uwe mstaarabu na muaminifu.
Mshahara: Ni mzuri sana
+ Unapewa NSSF pamoja na Bima ya Afya.
Gari zote ni mpya namba E, utakabidhiwa gari jipya na vifaa vyote vipya.
Na mwenye Hati ya kusafiria (Passport) atapewa nafasi ya ziada.
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0716789438/062 087 431
Source:
BENEDICT KIMBUSU on LinkedIn: Wanahitajika Madereva wa Malori (Long vehicle Truck Drivers) 200 *Eneo la…