Wanahitajika Vijana Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima

Wanahitajika Vijana Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima

somsom

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
44
Reaction score
35
Sisi ni wakala wa Bima tupo Dar es Salaaam, Kinondoni, tunahitaji vijana wa kike/kiume, wenye elimu ya bima ngazi ya cheti/Diploma Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima, ni kazi ya mauzo/masoko kama una sifa tajwa tafadhali ni pm Kwa maelekezo zaidi@vigezo na na mashariti kuzingatiwa.
 
Mkuu schoolmate wangu wa somsom sec tupe mchongo.
 
Bima ni huduma sio bidhaa,so sema unatafuta watu wa kuuza huduma ya bima.
 
Back
Top Bottom