Wanahitajika vijana wa Marketing & Sales Internship

SMD

Member
Joined
Oct 30, 2021
Posts
12
Reaction score
7
Kampuni ya SMAI Group Limited ambayo ni wamilikiwa SMAI Express na SMAI Delivery, wanahitaji vijana wasiopungua kumi kwa ajiri ya internship kwa kipindi hiki cha miezi mitatu ambayo wamezindua huduma mpya ya usafirishaji wa mizigo kutoka Dar kwenda nchi nzima na nchi jirani, pia Wamefungua offisi zao mpya ZANZIBAR kwa ajiri ya kutoa huduma ya kutuma na kupokea mizigo kutoka DAR kwenda Zanzibar .

Hivyo basi vijana hao wataweza kupata nafasi ya kufanya internship katika sehemu mbalimbali ikiwemo Customer service, sales and marketing representative, data entry n.k

Vigezo ni kuwa na akili timamu, elimu kuanzia form six, chuo au cheti nk umri 20 yrs.

Unaweza fika offisini kwao tarehe 22 hadi 24/2/2023. jengo la Binlsum Plaza, floor ya pili mtaa wa livingstone na Pemba.

Au piga simu number: 0677080939
IG: @smaiexpress na @smai.tz
www.smai.co.tz
www.app.smai.co.tz
911dispatch.jpg
 
Kampuni ya SMAI Group Limited ambayo ni wamilikiwa SMAI Express na SMAI Delivery, wanahitaji vijana wasiopungua kumi kwa ajiri ya internship kwa kipindi hiki cha miezi mitatu ambayo wamezindua huduma mpya ya usafirishaji wa mizigo kutoka Dar kwenda nchi nzima na nchi jirani, pia Wamefungua offisi zao mpya ZANZIBAR kwa ajiri ya kutoa huduma ya kutuma na kupokea mizigo kutoka DAR kwenda Zanzibar .

Hivyo basi vijana hao wataweza kupata nafasi ya kufanya internship katika sehemu mbalimbali ikiwemo Customer service, marketing, sells representative, data entry n.k

Vigezo ni kuwa na akili timamu, elimu kuanzia form six, cheti nk umri 20 yrs.

Unaweza fika offisini kwao tarehe 22 hadi 24/2/2023. jengo la Binlsum Plaza, floor ya pili mtaa wa livingstone na Pemba.

Au piga simu number: 0677080939
IG: @smaiexpress na @smai.tz
Sells ni nini mkuu?
 
Si mseme tu ni kutembeza masufuria watu tuje tunajua, hizi issue sjui sells sjui customer care ni story tu
Kumekuwa na shida hii JF ,ndio vijana tunataka kazi lakini matangazo yanakuja juu juu kwamba wanahitajika watu wa sales sasa hatujui tunaenda kuuza nini
 
Kampuni ya SMAI Group Limited ambayo ni wamilikiwa SMAI Express na SMAI Delivery, wanahitaji vijana wasiopungua kumi kwa ajiri ya internship kwa kipindi hiki cha miezi mitatu ambayo wamezindua huduma mpya ya usafirishaji wa mizigo kutoka Dar kwenda nchi nzima na nchi jirani, pia Wamefungua offisi zao mpya ZANZIBAR kwa ajiri ya kutoa huduma ya kutuma na kupokea mizigo kutoka DAR kwenda Zanzibar .

Hivyo basi vijana hao wataweza kupata nafasi ya kufanya internship katika sehemu mbalimbali ikiwemo Customer service, marketing, sells representative, data entry n.k

Vigezo ni kuwa na akili timamu, elimu kuanzia form six, cheti nk umri 20 yrs.

Unaweza fika offisini kwao tarehe 22 hadi 24/2/2023. jengo la Binlsum Plaza, floor ya pili mtaa wa livingstone na Pemba.

Au piga simu number: 0677080939
IG: @smaiexpress na @smai.tz

Sales sio sells, hii inaonyesha jinsi gani kampuni hiyo haijielewi.
 
tembelea offisini au pitia IG @smaiexpress na @smai.tz ndipo utajua kwa undani kitu gani kinatakiwa boss.. Asante ! na karibu sana
 
Kampuni inauza bidhaa gani ? Hamna ofisi mikoani ?
mtu kama upo interested utaingia kwenye website yao na kufanya research kidogo. mtu yoyote mwenye shida ya hii kazi mpaka sasa ameshajua kampuni inajihusisha na nini.

tuache uvivu ukiwa mtafutaji lazima uhangaikie kitu unachokitafuta.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kampuni ya deliver hio ila ingekuwa vizuri wangesema wanatoa nauri au chakula sio kisema tu intern unawapa watu trap ya kitikiri
 
Back
Top Bottom