Wanahitajika watu wa fani mbalimbali kwaajili ya Microfinance Mbeya Mjini

KUKULU- KAKALA

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
312
Reaction score
1,299
Habari! kama una ndugu au ni wewe mwenyewe na unashahada ya masuala ya fedha..Uhasibu au uchumi unaweza apply kwenye KAZI zifuatazo.

1) managing director - awe na masters ya Finance au masuala ya fedha na uchumi na uzoefu WA kutosha.

2) credit au loan officers - nafasi tano.

3) Teller - nafasi 4.

Mawasiliano Ili niweze kukutumia details na advert nitafte Whatsapp +255 655087675
 
naja
 
Are you sure this is not another PONZI scheme in the making in Mbeya?
Relax.... Ponzi scheme Ina tafta managing director na loan officers na Teller.... Kama haikuhusu Kausha Zima data zako za Jero hizo
 
Relax.... Ponzi scheme Ina tafta managing director na loan officers na Teller.... Kama haikuhusu Kausha Zima data zako za Jero hizo
DECI was a PONZI scheme na ilikuwa na maofisa wote hao!!
Acheni kuwanyemelea wasafya na hela zao za numbu .😳😳
 
DECI was a PONZI scheme na ilikuwa na maofisa wote hao!!
Acheni kuwanyemelea wasafya na hela zao za numbu .😳😳
Umasikini nao nikama laana, Hivi kwanini watanzania wengi tunaendelea kuwa wajinga wajinga hivi mtu kaleta tangazo anatafuta wafanyakazi kwenye microfinance yake. Lakini wapumbavu mnapost ujinga jamaa kazungumzia desi wapi
 
DECI nayo ilianza kama wewe! Any credible micro finance enterprise ingejua namna ya kupata credible workers sio kwa mtindo unaotumia!! Wewe Nadhani unajifunza utapeli ; unataka kuanzisha kakitu kako uwaibie wauza Ndizi hapo Mbeya!! Sidhani hata kama unayo leseni ya kufanya biashara hiyo. Ukifanya mchezo utafungwa.
 
Punguza ujinga. Upumbavu ni kujifanya unajua mambo ambayo wewe mwenyewe huwezi kuyafanya sababu uko nyuma ya keyboard utajifanya unajua kuchambua kila kitu wakati hata biashara ya genge la nyanya huna.
Jamaa ametangaza ajira umesharukia kuwa ni tapeli Akili za kifukara hizo
 
Mimi ni tajiri sana , ninachofanya ni kutoa tahadhari kwa wananchi wasitapeliwe na watu kama wewe!! Huko Mbeya matapeli mko wengi sana🤷🏻‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…