Wanahitajika watu wa kuchoma mkaa

Wanahitajika watu wa kuchoma mkaa

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
6,813
Reaction score
11,540
Habari za jioni wadau, nahitaji watu wenye uzoefu wa kupanga magogo na kuchoma mkaa.

Pia nahitaji mtaalamu wa kutumia chainsaw.

Kazi iko Kilwa.

Karibuni.
 
Serikali sio wajinga kutoka vibali.
Kaa kimya na jana mazingira wako wa kwenye makaratasi.

Hivi toka umekuwa mwana mazingira umeshapanda miti mingapi?
Mkuu,serikali inapotoa kibali inakosea sana ila kwa sababu hakuna namna inabidi itoe kibali.Ila kuna siku utaelewa.
 
Serikali sio wajinga kutoka vibali.
Kaa kimya na jana mazingira wako wa kwenye makaratasi.

Hivi toka umekuwa mwana mazingira umeshapanda miti mingapi?
Nimepanda miti zaidi ya 20,000 nenda TFS kaulize ujoka nina file pale acheni uharibufu wa mazingira
 
Serikali sio wajinga kutoka vibali.
Kaa kimya na jana mazingira wako wa kwenye makaratasi.

Hivi toka umekuwa mwana mazingira umeshapanda miti mingapi?
Mtu umepewa shamba na kijiji, msitu, unatakiwa ulisafishe ulime, sasa mwana mazingira hataki tufyeke tulime, tuendeshe maisha...

Aisee, mie huwa wananichekesha.

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Serikali sio wajinga kutoka vibali.
Kaa kimya na jana mazingira wako wa kwenye makaratasi.

Hivi toka umekuwa mwana mazingira umeshapanda miti mingapi?
[emoji16] [emoji16] [emoji1]
 
Mtu umepewa shamba na kijiji, msitu, unatakiwa ulisafishe ulime, sasa mwana mazingira hataki tufyeke tulime, tuendeshe maisha...

Aisee, mie huwa wananichekesha.

Everyday is Saturday............................. 😎
Ndio utashangaa, ukimuuliza kama anakula mazingira atabaki kimya. Hawa ndio wana mazingira uchwara
 
Kama mwanachama wa malihai Club wakati Nipo secondary basi roho inauma sana kwa unavyovitafuta
 
sisi watu wa ushahilini, watoto wa mama ntilie, mama zetu watapika na nn?
Dhana ya maendeleo endelevu ndio naizungumzia hapa ni kwavile tu tumechagua uharibifu gas ni cheap kuliko mkaa kwa wakaz wa mjini watu wa vijijini hawatumii mkaa wao ni kuni tu zilizojikaukia hawatumii chainsaws kuangusha magogo ishu ipo kwa hawa wafanyabiashara wakubwa.
Dunia inahangaika na mabadiliko tabia nchi na sisi ndio wajinga wakubwa
 
Back
Top Bottom