Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Serikali sio wajinga kutoka vibali.Sisi watu wamazingira tunaumia sana na vitu kama hivi
Mkuu,serikali inapotoa kibali inakosea sana ila kwa sababu hakuna namna inabidi itoe kibali.Ila kuna siku utaelewa.Serikali sio wajinga kutoka vibali.
Kaa kimya na jana mazingira wako wa kwenye makaratasi.
Hivi toka umekuwa mwana mazingira umeshapanda miti mingapi?
Hujajibu swali languMkuu,serikali inapotoa kibali inakosea sana ila kwa sababu hakuna namna inabidi itoe kibali.Ila kuna siku utaelewa.
Nimepanda miti zaidi ya 20,000 nenda TFS kaulize ujoka nina file pale acheni uharibufu wa mazingiraSerikali sio wajinga kutoka vibali.
Kaa kimya na jana mazingira wako wa kwenye makaratasi.
Hivi toka umekuwa mwana mazingira umeshapanda miti mingapi?
Sisi watu wa ushahilini, watoto wa mama ntilie, mama zetu watapika na nn?Nimepanda miti zaidi ya 20,000 nenda TFS kaulize ujoka nina file pale acheni uharibufu wa mazingira
Mtu umepewa shamba na kijiji, msitu, unatakiwa ulisafishe ulime, sasa mwana mazingira hataki tufyeke tulime, tuendeshe maisha...Serikali sio wajinga kutoka vibali.
Kaa kimya na jana mazingira wako wa kwenye makaratasi.
Hivi toka umekuwa mwana mazingira umeshapanda miti mingapi?
[emoji16] [emoji16] [emoji1]Serikali sio wajinga kutoka vibali.
Kaa kimya na jana mazingira wako wa kwenye makaratasi.
Hivi toka umekuwa mwana mazingira umeshapanda miti mingapi?
Ndio utashangaa, ukimuuliza kama anakula mazingira atabaki kimya. Hawa ndio wana mazingira uchwaraMtu umepewa shamba na kijiji, msitu, unatakiwa ulisafishe ulime, sasa mwana mazingira hataki tufyeke tulime, tuendeshe maisha...
Aisee, mie huwa wananichekesha.
Everyday is Saturday............................. 😎
Dhana ya maendeleo endelevu ndio naizungumzia hapa ni kwavile tu tumechagua uharibifu gas ni cheap kuliko mkaa kwa wakaz wa mjini watu wa vijijini hawatumii mkaa wao ni kuni tu zilizojikaukia hawatumii chainsaws kuangusha magogo ishu ipo kwa hawa wafanyabiashara wakubwa.sisi watu wa ushahilini, watoto wa mama ntilie, mama zetu watapika na nn?
0672109583Habari za jioni wadau, nahitaji watu wenye uzoefu wa kupanga magogo na kuchoma mkaa.
Pia nahitaji mtaalamu wa kutumia chainsaw.
Kazi iko Kilwa.
Karibuni.
Zipo Kama uko serious tuwasilianeNafasi bado zipo nije kupiga kazi?
Poa poa. Ni kweli ni ngumu kushenzi, kidogo niachane nayo Ila imebidi nikomaeTata nicheki kwa hii namba 0624320265 na knowledge na hii biashara ngumu ila yenye good returns