Kamanda habari za masiku!Dah! Hiyo signature yako ni ujumbe kuntu kama jamii tungezingatia...eti Its only when a mosquito lands on your testicles, that you realize there is always a way to solve problems without using violence.
[emoji81] tuhakikishie hilo....Huyu lupita anatoa sana papuchino huko mbele
Born in Mexico, Live in US [emoji75] And Kenyan still proud of her...!!!
Tuwe wakweli jombaa, filamu za Nigeria zipo chini sana kwenye production. Alafu Lupita alikuwa anaigiza kwenye production za Kenya kabla hajaenda Drama School U.S. Role iliyofanya ajulikane haikuwa kwenye filamu za Hollywood, ilikuwa kwenye Kenyan chapter ya soap opera kwa jina Shuga.Sawa mkuu, lakini binafsi sikuona umuhimu wowote wa kuwakashifu hao wanawake wa kinaija kwamba wanapiga makelele na kuvaa mawigi kisa tu unataka kufikisha ujumbe kwamba Lupita ni mwigizaji bora kuliko wao.Halafu mkuu, kupata hizo TUZO chache hakutufanyi wakenya na watanzania kuwa sawa na wanaija kwenye tasnia nzima ya burudani, hapa barani Afrika. Inatubidi tukaze buti na tuachane na haya majungu yasiyo na msingi.NB: Hata hivyo LUPITA ni Mkenya lakini ametokea kupitia Hollywood na siyo Kenyan Movie Industry: Hili tu linapasa kufikirisha.
Lionheart ya Genevieve Nnaji iko Netflix, wewe utasemaje kwamba Nigerian Production iko chini wakati kila siku wanajitahidi kujiboresha ???Tuwe wakweli jombaa, filamu za Nigeria zipo chini sana kwenye production. Alafu Lupita alikuwa anaigiza kwenye production za Kenya kabla hajaenda Drama School U.S. Role iliyofanya ajulikane haikuwa kwenye filamu za Hollywood, ilikuwa kwenye Kenyan chapter ya soap opera kwa jina Shuga.
Waswahili huwa tunasema ukiona panya analeta jehuri jua kwamba yuko jirani na shimo: There is an elephant behind Iran.Shwari kiongozi, tunapambana na maisha haya haya tu, umeadimika kule jukwaa la kimataifa....Hatujapata tamko lako kwanini Iran anaonekana kuwa na jeuri ya kutunisha misuli, kutwa anatuma salamu kote....
Nollywood productions, kwa maoni yangu hazina tofauti na Bongo movie, production-wise. Ni maoni yangu tu lakini.Lionheart ya Genevieve Nnaji iko Netflix, wewe utasemaje kwamba Nigerian Production iko chini ???
Pitia historia yake hapa...<img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji848.png" />Born in Mexico, Live in US <img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji75.png" /> And Kenyan still proud of her...!!!
Nollywood inaingizia Nigeria kiasi gani kwa mwaka ???Nollywood productions, kwa maoni yangu hazina tofauti na Bongo movie, production-wise. Ni maoni yangu tu lakini. Pitia historia yake hapa...Mbona wakenya wasiwe proud na mafanikio ya mkenya mwenzao, ambaye wazazi wake wote ni wakenya. Shule ya msingi na ya upili alisomea Kenya. Lupita alianza kuigiza akiwa na miaka 14, mwanafunzi wa shule ya St. Mary's, Nairobi. Baadaye akajiunga na Phoenix Players Theatres, Nairobi. Hapo ndipo alianza kung'aa kwenye 'plays' alafu baadaye filamuLupita Nyong'o before Hollywood
Lupita’s father, Kenyan politician and Senator in the current government Prof Anyang’ Nyong’o, says her interest in acting started in early childhood.www.theeastafrican.co.ke
This is a Luo from Kisumu County.
Mkuu mwanamke anakuaje shoga??Wazungu wanampenda sababu ni Lesbian /Gay
Stop hating mzee! I believe mbali na Lupita Nyong'o kwenye tasnia nzima ya burudani Nigeria wako mbele sana kuliko Kenya.
Filamu za Kenya, sio moja tu, zimekuwa zikipata nominations kwenye tuzo za Oscars kule Hollywood, kila mara. Kwenye tuzo za filamu Afrika, AMVCA, huwa zinawakilisha ukanda huu vilivyo. Zanzibar Film Festival nayo filamu za Kenya huwa zinajinyakuliwa tuzo si haba. Need I say more?Hivi Kenya kumbe mna movie industry?
Mkuu, wewe unaona tunamuongelea Lupita au Kenya nzima ???Hivi ni Lupita Nyong'o tunayemuongelea ama Kenya nzima?
Mawazo ya kibongo movie haya.Huyu lupita anatoa sana papuchino huko mbele
Sawa mkuu, lakini binafsi sikuona umuhimu wowote wa kuwakashifu hao wanawake wa kinaija kwamba wanapiga makelele na kuvaa mawigi kisa tu unataka kufikisha ujumbe kwamba Lupita ni mwigizaji bora kuliko wao.
Halafu mkuu, kupata hizo TUZO chache hakutufanyi wakenya na watanzania kuwa sawa na wanaija kwenye tasnia nzima ya burudani, hapa barani Afrika. Inatubidi tukaze buti na tuachane na haya majungu yasiyo na msingi.
NB: Hata hivyo LUPITA ni Mkenya lakini ametokea kupitia Hollywood na siyo Kenyan Movie Industry: Hili tu linapasa kufikirisha.
Sijui, ila najua kwamba ni hela ndefu, hapo hamna ubishi. Kwa wingi wa filamu na hela wanazoingizia Nigeria, nawapa tick. Ila kwa ubora(quality) hawapo kabisa. Sio kwenye script zao, storylines, production on na off studio na directing pia.Nollywood inaingizia Nigeria kiasi gani kwa mwaka ???