Wanaijeria wafyatuka na kulalamika kwanini Mkenya Lupita ameteuliwa kuigiza kwenye filamu kama Mnijeria

Wanaijeria wafyatuka na kulalamika kwanini Mkenya Lupita ameteuliwa kuigiza kwenye filamu kama Mnijeria

Americanah into a movie?

I can't wait to see how well will they adapt from the novel.
 
Dah! Hiyo signature yako ni ujumbe kuntu kama jamii tungezingatia...eti Its only when a mosquito lands on your testicles, that you realize there is always a way to solve problems without using violence.
Kamanda habari za masiku!
 
Sawa mkuu, lakini binafsi sikuona umuhimu wowote wa kuwakashifu hao wanawake wa kinaija kwamba wanapiga makelele na kuvaa mawigi kisa tu unataka kufikisha ujumbe kwamba Lupita ni mwigizaji bora kuliko wao.Halafu mkuu, kupata hizo TUZO chache hakutufanyi wakenya na watanzania kuwa sawa na wanaija kwenye tasnia nzima ya burudani, hapa barani Afrika. Inatubidi tukaze buti na tuachane na haya majungu yasiyo na msingi.NB: Hata hivyo LUPITA ni Mkenya lakini ametokea kupitia Hollywood na siyo Kenyan Movie Industry: Hili tu linapasa kufikirisha.
Tuwe wakweli jombaa, filamu za Nigeria zipo chini sana kwenye production. Alafu Lupita alikuwa anaigiza kwenye production za Kenya kabla hajaenda Drama School U.S. Role iliyofanya ajulikane haikuwa kwenye filamu za Hollywood, ilikuwa kwenye Kenyan chapter ya soap opera kwa jina Shuga.
 
Tuwe wakweli jombaa, filamu za Nigeria zipo chini sana kwenye production. Alafu Lupita alikuwa anaigiza kwenye production za Kenya kabla hajaenda Drama School U.S. Role iliyofanya ajulikane haikuwa kwenye filamu za Hollywood, ilikuwa kwenye Kenyan chapter ya soap opera kwa jina Shuga.
Lionheart ya Genevieve Nnaji iko Netflix, wewe utasemaje kwamba Nigerian Production iko chini wakati kila siku wanajitahidi kujiboresha ???

Halafu unaposema Production iko chini, wewe unaringanisha na Production ya nchi gani ??? Maana kama ni Hollywood, man let's be fair tutakuwa tunawaonea.

Pia kama utataka tuwe wakweli, basi leta takwimu za mapato ambayo Kenyan Movies Industry inaingiza ndani ya mwaka halafu tufanye uwiano na yale ya Nigerian Movie Industry: Tukifanya hivi nadhani tutakuwa Objective.
 
Shwari kiongozi, tunapambana na maisha haya haya tu, umeadimika kule jukwaa la kimataifa....Hatujapata tamko lako kwanini Iran anaonekana kuwa na jeuri ya kutunisha misuli, kutwa anatuma salamu kote....
Waswahili huwa tunasema ukiona panya analeta jehuri jua kwamba yuko jirani na shimo: There is an elephant behind Iran.
 
Lionheart ya Genevieve Nnaji iko Netflix, wewe utasemaje kwamba Nigerian Production iko chini ???
Nollywood productions, kwa maoni yangu hazina tofauti na Bongo movie, production-wise. Ni maoni yangu tu lakini.
<img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji848.png" />Born in Mexico, Live in US <img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji75.png" /> And Kenyan still proud of her...!!!
Pitia historia yake hapa... Mbona wakenya wasiwe proud na mafanikio ya mkenya mwenzao, ambaye wazazi wake wote ni wakenya. Shule ya msingi na ya upili alisomea Kenya. Lupita alianza kuigiza akiwa na miaka 14, mwanafunzi wa shule ya St. Mary's, Nairobi. Baadaye akajiunga na Phoenix Players Theatres, Nairobi. Hapo ndipo alianza kung'aa kwenye 'plays' alafu baadaye filamu
 
Nollywood productions, kwa maoni yangu hazina tofauti na Bongo movie, production-wise. Ni maoni yangu tu lakini. Pitia historia yake hapa... Mbona wakenya wasiwe proud na mafanikio ya mkenya mwenzao, ambaye wazazi wake wote ni wakenya. Shule ya msingi na ya upili alisomea Kenya. Lupita alianza kuigiza akiwa na miaka 14, mwanafunzi wa shule ya St. Mary's, Nairobi. Baadaye akajiunga na Phoenix Players Theatres, Nairobi. Hapo ndipo alianza kung'aa kwenye 'plays' alafu baadaye filamu
Nollywood inaingizia Nigeria kiasi gani kwa mwaka ???
 
This is a Luo from Kisumu County.
Baba yake ni governor wa Kisumu. Tangu siku gani Mexico wakazaa Amondi?
FB_IMG_15683286482113767.jpeg
FB_IMG_15683271513726989.jpeg
 
Hivi Kenya kumbe mna movie industry?
Filamu za Kenya, sio moja tu, zimekuwa zikipata nominations kwenye tuzo za Oscars kule Hollywood, kila mara. Kwenye tuzo za filamu Afrika, AMVCA, huwa zinawakilisha ukanda huu vilivyo. Zanzibar Film Festival nayo filamu za Kenya huwa zinajinyakuliwa tuzo si haba. Need I say more?
 
Director ameangalia character hajaangalia taifa analotoka character.
Hao wanaija wakae kwa kutulia.
 
Sawa mkuu, lakini binafsi sikuona umuhimu wowote wa kuwakashifu hao wanawake wa kinaija kwamba wanapiga makelele na kuvaa mawigi kisa tu unataka kufikisha ujumbe kwamba Lupita ni mwigizaji bora kuliko wao.

Halafu mkuu, kupata hizo TUZO chache hakutufanyi wakenya na watanzania kuwa sawa na wanaija kwenye tasnia nzima ya burudani, hapa barani Afrika. Inatubidi tukaze buti na tuachane na haya majungu yasiyo na msingi.

NB: Hata hivyo LUPITA ni Mkenya lakini ametokea kupitia Hollywood na siyo Kenyan Movie Industry: Hili tu linapasa kufikirisha.

Last two weeks nilienda home, kulikuwa na professional conference. Kusema ule ukweli, jamaa wa west Afrika wako mbele kiasi fulani ukilinganisha na pande zingine za Afrika.
Kama ulivyosema, jamaa wako mbali sana.
 
Nollywood inaingizia Nigeria kiasi gani kwa mwaka ???
Sijui, ila najua kwamba ni hela ndefu, hapo hamna ubishi. Kwa wingi wa filamu na hela wanazoingizia Nigeria, nawapa tick. Ila kwa ubora(quality) hawapo kabisa. Sio kwenye script zao, storylines, production on na off studio na directing pia.
 
Back
Top Bottom