Wanaijeria wafyatuka na kulalamika kwanini Mkenya Lupita ameteuliwa kuigiza kwenye filamu kama Mnijeria

Hahahah jifunzeni pia ustaarabu, ban kitu cha kawaida sana maana hakipunguzi kitu wala kuongeza chochote brathee,
Lete dharau unapewa moja kubwa.

Sio cha kawaida maana kuna idadi imewekwa kabla kupigwa permanent, wapo waliokuja na moto wa kitoto kama huo wako, na leo hii hawapo humu tena, unapigwa hadi IP, kwamba hata ukibadilisha jina hauingii.
Kuna kitu haukijui, kwamba wengi wetu tunajua kutukana, tena matusi hatari zaidi ya wewe unayejifunza, ila tumechagua kuwa wastaarabu, maana haya maisha ni mafupi huna haja ya kuishi ukiteseka kwa hasira, siku utaelewa hiki kitu, utahisi huru sana.
 
Sijui kwa nini wa-Kenya wanapenda kusema Lupita ni Mkenya wakati siyo Mkenya...

Cc: mahondaw
 
Hahaha sasa unadhani IP ikipigwa kwani namiliki device moja, au kwani vpn hazipo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa na adabu uheshimiwe kama ni heshima ndio unatafuta humu, ila ukiwa mjinga jiandae kujibiwa ujinga.
Na btw mbona imekuuma au wewe ndio msemaji wake,
Au unamsemea ili aanze kujibu pm zako.
Sio cha kawaida maana kuna idadi imewekwa kabla kupigwa permanent, wapo waliokuja na moto wa kitoto kama huo wako, na leo hii hawapo humu tena, unapigwa hadi IP, kwamba hata ukibadilisha jina hauingii.
Kuna kitu haukijui, kwamba wengi wetu tunajua kutukana, tena matusi hatari zaidi ya wewe unayejifunza, ila tumechagua kuwa wastaarabu, maana haya maisha ni mafupi huna haja ya kuishi ukiteseka kwa hasira, siku utaelewa hiki kitu, utahisi huru sana.
 
Hahaha sasa unadhani IP ikipigwa kwani namiliki device moja, au kwani vpn hazipo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa na adabu uheshimiwe kama ni heshima ndio unatafuta humu, ila ukiwa mjinga jiandae kujibiwa ujinga.
Na btw mbona imekuuma au wewe ndio msemaji wake,
Au unamsemea ili aanze kujibu pm zako.

Ni tahadhari tu maana tumepoteza wengi waliokuja na moto kama huo, anyway karibu.
 
Lakini sipo kama wakenya wanaotandikwa na wake zao,
Ulikuwepo, ila usirudie tena kucoment ujinga mtoto mzuri [emoji4][emoji4][emoji4]
Mbona sikumbuki ama ulinitukana wakati sipo kwa sababu wewe ni coward kama watzedi wengi walivyo hususan wanaume?
 
Lakini sipo kama wakenya wanaotandikwa na wake zao,
Ulikuwepo, ila usirudie tena kucoment ujinga mtoto mzuri [emoji4][emoji4][emoji4]
Am so confused man.Ulinitusi aje? Unafaa uniambie ndio nikuweke pahala pako.
Wanaume watatu wa kitanzania wanatandikwa na mkenya mmoja mwanaume. Nina uhakika wa kike atatandika kumi na wawili. Nyie mbilikimo wa tz hamjui lolote.
 
Eeei Sikumbuki tusi, alafu huwa situkani mimi, md alikuwa na stress zake huko [emoji23][emoji23][emoji23],
Wanaume wenu walivyo dhaifu nawapanga makundi kundi,
Inabidi muunde chama cha kutetea wanaume kenya.

Back
Top Bottom