Wanaijeria wapata wasiwasi kuhusu hali ya ASAKE baada ya kuonekana kachoka na maisha

Wanaijeria wapata wasiwasi kuhusu hali ya ASAKE baada ya kuonekana kachoka na maisha

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Tuache utani, Mziki ni kazi ngumu jamani kama hauna strategies thabiti.

Wanaijeria walalamika kuhusu ASAKE kubadilika muonekano na kuanza kufanana na watu wa kawaida japo kuwa ana mamilioni ya pesa kwenye Account za benki. ASAKE aliyezoeleka kuwa ni mtu wa fashion za kuvutia, siku hizi amekuwa mtu wa mavazi ya kawaida, huku wanaijeria wengi wakimshutumu kuwa anatumia madawa ya kulevya yanayompelekea kuonekana amechoka.

Asake alitoka kimziki kupitia beats za Amapiano ambazo zilimtambulisha duniani na kufanikiwa kujaza Arena kadhaa ughaibuni. Wanaijeria wengine wanadai Asake ana stress zinazompelekea kuonekana amechoka ukijumuisha na matumizi ya madawa ya kulevya.

Chanzo:

View: https://www.instagram.com/p/C5wK_t5sKsI/?igsh=MWJ4YnZ0bzF3MXQ4YQ==
 
Huyu hakuhudhuria mialiko ya pdidy......

Ila maisha ya hawa watu wa burudani kazi sana ,huku shabiki anatamani ufulie akutolee shombo, huku unahangaika ku maintain status halafu unakutana na ofa za wakina pdidy asee lazima madawa yawe rafiki yako
 
Back
Top Bottom