Wanajamii Forums mmesusia nyuzi zangu

Wanajamii Forums mmesusia nyuzi zangu

Nitapata tabu sana kwa hali hii, hata ninapohitaji kutiwa moyo, hamasa na ushauri juu ya jambo fulani, naishiwa kutazamwa tu [emoji24][emoji24][emoji24]

Hakika nimeumaliza mwendo

Nasubiri maoni:
pole sana ndugu,inawezekana pumba zilizidi.
 
Nashangaa sana kwani watu wanaota naniliu...ngoja niende kwa mshanajr
 
Back
Top Bottom