SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Sasa simsaidie tu . Labda ndio chanzo cha kupunguza stressPole sana mkuu
Watu wana stress za maisha.
Ndio wapi hukoo namtu unawekeza nini?Nenda mkata
Wewe utasema hujui ??Pole sana
Sina uzoefu na huko sana labda moro naweza kusikilizia nikakujulishaWewe utasema hujui ??
😄Pole,
Wana jf wote wanaisha daslam na katoro.
Wanahofu wachangiaji wengi ni kina Lucas mwashamwa sikuizi umu ndani wamechoshwaSiku hizi wanajamii wa humu mmekuwa mnaringaa sijui mmeona nini jamani aisee .
Nimeomba msaada wanani anajua shamba za bei rahisi aniambie pangani au eneo lolote la Tanga kimya.
Mnashida gani??
Eti ?? Mmeona nini ?? Au wivu eh
Wanahofu wachangiaji wengi ni kina Lucas mwashamwa sikuizi umu ndani wamechoshwa
Acha uvivu; amka nenda kavinjari huko kibinafsi. Acha kutusumbua hapa.Siku hizi wanajamii wa humu mmekuwa mnaringaa sijui mmeona nini jamani aisee .
Nimeomba msaada wanani anajua shamba za bei rahisi aniambie pangani au eneo lolote la Tanga kimya.
Mnashida gani??
Eti ?? Mmeona nini ?? Au wivu eh
We upo??Wewe utasema hujui ??
Panda gar hapo stend ya daladala mbezi zinafika hapo mkata, halaf ulizia kwa mazingara huko mashamba ya heka 250k hadi 300k yapo teleNdio wapi hukoo namtu unawekeza nini?
Naomba mawasiliano ya huko pleasePanda gar hapo stend ya daladala mbezi zinafika hapo mkata, halaf ulizia kwa mazingara huko mashamba ya heka 250k hadi 300k yapo tele
Shuka mkata uliza bodaboda unapelekwa madamNaomba mawasiliano ya huko please