Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera....ngoja niitafute thread yako uliyoombea ushauri ili na mimi nipate A,B,C za huo mradi
Mkuu chamlungu asante sana nimesharekebisha..
Mkuu labda kuturahisishia ungeweka tittle ya hiyo thread ya awali ili na sisi tuipitie tupate mwanga!hongera sana kwa kua focused mkuu!
Mkuu 1800 nimeweka title yake mbona,soma vzur thread yangu. Shine mie natumia simu hvyo kuweka link au kuipaste hapa siwez ila naomba uitafute kwa title yake ambayo nimeiweka hapo
Asante sana mkuu,ni kweli sikua makini kuangalia,ila nimeiona!kwa hiyo mkuu soko kuu ni wapi kwa hiyo kitu?nimependa sana ulivyochukua wazo na kulifanyia kazi in a successful way!nahitaji kujifunza mengi toka kwako mkuu!plz inbox me ur number mkuu
Pamoja kiongozi platozoom,yan inaonyesha upo deep sana ktk sekta hii maana ulidadavua sana ktk thread yangu ileee,nitakusumbua sana kila ninapohitaj msaada wako