Hapana, hiyo ni BBC Swahili na si bbc swahilibbc swahili [emoji23][emoji23]
Uko sahihi kabisaWengine hatufahamiani na watu Humu na Hatuna hata wana!
Huyu alikuwa na uzi maridadi, a resourceful law person on JF, tangu aondoke, ukafa!5. Dragoon
Ooh I see.Wameungana na kufungua kampuni yao. Wako busy wanasimamia mahesabu ya kampuni wasidhurumiane.
Hawapumziki, hawana off, hawalali wanachapa kazi tuu.
Zipi hizi?Viatu vya samaki na miguu ya kuku wana ID nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walitongoza mademu Pm wakakataliwa ikabidi wabadili ID
Akili ya vodka za Jumapili
Na wewe nilikuwa nakutafuta sana.Namba 6 na 7 ni huyo huyo kwa sasa yuko benchi kidogo ni miongoni mwa waliokatwa
Nipo mkuu sema kuna mda nabanwa kidogo zi unajua tena kazi zetu hizi.Na wewe nilikuwa nakutafuta sana.