Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Huyu ni mwamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mwamba
Kaa kwa kutulia watu hatuelew mtaani ukuHabari all members.
Nimekaa nikatafakari maisha yangu ndani ya jf nikajikuta nawakumbuka baadhi ya members ambao hawaonekani jamvin Kwa muda mrefu sasa.
Kuna members wana mioyo ya pekee Sana. Kwangu mimi wengi humu wamekuwa wema sana kwangu lakin Uzi huu ni maalum Kwa wale ambao siwaoni kabisa jamvin na PM zangu hawazipati.
Yupo wapi life is Short?
Yupo wapi Hawachi?
Unajua kitu kinaitwa anonymity?Wengi wa wanaobadili ID ni wale wenye uongo mwingi hum.
Hawa niliowataja si miongoni mwao
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer. Jiandae kuambiwa kuwa hii ID yako ni yangu Mimi kutokana na hizi Sincerely Credits zako Kwangu.GENTAMYCINE kijana mpole, mstaarabu ila anaongoza kwa kupigwa vita kila jukwaa.
ID yako hapo ni ipi?Watu wenye status ya "member" huu Uzi hauwahusu. Ninaowatafuta ni wakongwe na Mimi ni mkongwe