Wanajamiiforums mko wapi?

Wanajamiiforums mko wapi?

Nipo bwana mara moja moja kama hivi tunaingia jf halafu we na nani jamani mbona mupya halafu muhandsome hivyo [emoji847]
 
Habari all members.

Nimekaa nikatafakari maisha yangu ndani ya jf nikajikuta nawakumbuka baadhi ya members ambao hawaonekani jamvin Kwa muda mrefu sasa.

Kuna members wana mioyo ya pekee Sana. Kwangu mimi wengi humu wamekuwa wema sana kwangu lakin Uzi huu ni maalum Kwa wale ambao siwaoni kabisa jamvin na PM zangu hawazipati.

Yupo wapi life is Short?

Yupo wapi Hawachi?
 
Back
Top Bottom