Wanajamiiforums mko wapi?

Wanajamiiforums mko wapi?

Umemsahau maluuni/fedhuli/kichomi/kiherehere/nuksi mmoja ISIS. Huyu jamaa alikua anaongoza kunitukana humu JF, kwa siku alikua ananitukana zaidi ya mara 1000.

kila uzi alikua hakosekani kuimba mapambio ya CCM. Ila ana muda sana sijui amefia wapi.
 
Yupo kule jukwaa la matangazo, anauza viatu!
 
Back
Top Bottom