Wanajamiiforums mko wapi?

Wanajamiiforums mko wapi?

Habari all members.

Nimekaa nikatafakari maisha yangu ndani ya jf nikajikuta nawakumbuka baadhi ya members ambao hawaonekani jamvin Kwa muda mrefu sasa.

Kuna members wana mioyo ya pekee Sana. Kwangu mimi wengi humu wamekuwa wema sana kwangu lakin Uzi huu ni maalum Kwa wale ambao siwaoni kabisa jamvin na PM zangu hawazipati.

Yupo wapi life is Short?

Yupo wapi Hawachi?

Mtu kajiita life is short unategemea nini? (Utani[emoji2])

Sio kwamba hawapo ukute wapo ila wana IDs tofauti hizi wamezi-dump [emoji2781]. Kuna wengine siku hizi wako biased na majukwaa mengine huku kama ulimzoea MMU basi unakuta mahaba siku hizi yako kwenye jukwaa la Entertainment huko au jukwaa la Magari au Siasa tu sasa naww kama hutembelei kule umezoa kusoma nyuzi za kula kimasihara unaweza kuhisi mwamba hayupo JF.
 
Mtu kajiita life is short unategemea nini? (Utani[emoji2])

Sio kwamba hawapo ukute wapo ila wana IDs tofauti hizi wamezi-dump [emoji2781]. Kuna wengine siku hizi wako biased na majukwaa mengine huku kama ulimzoea MMU basi unakuta mahaba siku hizi yako kwenye jukwaa la Entertainment huko au jukwaa Magari tu.
unaleta utani sehemu isiyohitaji utani
 
Habari all members.

Nimekaa nikatafakari maisha yangu ndani ya jf nikajikuta nawakumbuka baadhi ya members ambao hawaonekani jamvin Kwa muda mrefu sasa.

Kuna members wana mioyo ya pekee Sana. Kwangu mimi wengi humu wamekuwa wema sana kwangu lakin Uzi huu ni maalum Kwa wale ambao siwaoni kabisa jamvin na PM zangu hawazipati.

Yupo wapi life is Short?

Yupo wapi Hawachi?
Wewe katika hao wawili ID yako ni ipi? Maana hapa unawaandaa watu na kitu flani..... Unazikumbuka IDs zako nyingine unajipigia promo.
 
Back
Top Bottom