Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
I miss you babe [emoji8][emoji14][emoji14][emoji14] nipoo babe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I miss you babe [emoji8][emoji14][emoji14][emoji14] nipoo babe
si alijinyonga, mwaka huu. Au nimechanganya majina.Lini mkuu?
Imebidi niruke juu fasta kucheck jina, life's short sana.Namba 7&8 ni mtu mmoja..na ametangulia mbele za haki
AhhahaMadam b mtaalam wa tigo . Namuonaga onaga mara kadhaa kule chini
Usiwe unapotea sana tunamiss uwepo wakoAhhaha
Jamani wewe mkaka ChickMagnet umenifurahisha sana.
Yule bibi anafanya kampeni.Umemsahau faizafoxy
[emoji23][emoji23] mbao za mawe aliiteka JF kibabe. Alikuwa anaandika post zina makosa ya kiuandishi balaa.Mbao za Mawe
Robot la Matope
Dah, so sad aisee.si alijinyonga, mwaka huu. Au nimechanganya majina.
Wee mwanamke uje PMAhhaha
Jamani wewe mkaka ChickMagnet umenifurahisha sana.
Lizaboni si ndio Mheshimiwa N N, Mbunge wa Mt..m..aLizaboni Yupo wapi uchaguzi huu unafika bro.
Umemsahau maluuni/fedhuli/kichomi/kiherehere/nuksi mmoja ISIS. Huyu jamaa alikua anaongoza kunitukana humu JF, kwa siku alikua ananitukana zaidi ya mara 1000.
kila uzi alikua hakosekani kuimba mapambio ya CCM. Ila ana muda sana sijui amefia wapi.
Usijali mpendwa.Usiwe unapotea sana tunamiss uwepo wako