Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 822
Kuna matukio yamekuwa yakitokea katika taasisi za Serikali lakini zikihusishwa Ofisi za wasaidizi wa karibu wa Rais.
Kuna wakati Rais Magufuli aliagiza moja ya kitengo cha kushughulikia wawekezajji kiondolewe Ofisi ya Waziri Mkuu. Je, Waziri Mkuu alikuwa hajui, au amechoka na Speed ya jamaa?
Jambo la pili, juzi hapa kuna Mkurugenzi wa Mji wa Geita kununua gari la 409ml. Tuhuma hizi ziliibuliwa na Mbunge wa Geita VIjijini, baada ya fukuto ikaja kuonekana Ofisi ya Waziri Mkuu imehusika katika ununuzi wa gari hilo
Swali langu tena, Je, Waziri Mkuu kuhusika kwa Ofisi yake katika madudu hayo yawezekana yapo madudu mengine? maana wadau wameanza kuweka wazi kuwa hata katika baadhi ya Halmashauri na vyuo vikuu wanafanya hayo hayo manunuzi ya magari. Na kitengo cha kuidhinisha manunuzi hyo kipo Ofisi ya Waziri Mkuu
Au ile Lugha yakwamba asifikiri atamaliza miaka kumi anaweza kutumbuliwa ilikuwa inaonyesha kuwa lisemalwo lipo km halipo linakuja?
Mimi Enzi na Enzi nahitaji mawazo yenu, ila nawajulisha kuna KISHINDO KINAKUJA NDANI YA MIAKA HII MITANO YA MWISHO YA MAGUFULI. Natabiri kunakiongozi mkubwa au viongozi wakubwa wataachia ngazi na siasa za nchi hii zitatikisika.