Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Ukichunguza sana watu wengi wanaotumia mtandao wa Twitter wengi ni wajinga tena sana. Kujifanya mjuaji ni moja ya sifa ya kuwa wewe ni mjinga.
Sasa naona na huku JamiiForums kuna watu wanajifanya wajuaji na kuleta mambo ya Twitter kuyaleta huku please tuko uku kwa lengo moja kupata elimu sio kubishana. Hata kama kubishana tubishane kwa hoja zenye kujenga.
Mitandao iko na uongo pamoja na ukweli so jambo lichunguze sio unaleta jambo ambalo una uhakika nalo. Mfano Wazungu wanacheza na akili zetu sana kwasababu sisi ni wazembe wa kusoma na ni wagumu kutafuta maarifa.
Nashauri fuatilia kitu ambacho unataka kukiandika sio ukuje hapa upotoshe sio lengo la jukwaa kupotosha umma, na hapa sio Twitter kunapotrend video za NGONO.