Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh Mkuu Adepety naona kupata msaada hapa itakuwia vigumu kdg kwa sababuWana Jfm naomba kuelekezwa kwa upande wa EFD machine,Nafanya mauzo kwa wateja ambao hawana TIN namba na VRN.Naomba kuelekezwa jinsi ya kuweka jina la mteja ili nikimkatia mteja risti jina lionekane kwenye risti niliyomkatia na kiasi chake.Nitashukuru