WanajamiiForums, naomba kuelekezwa kwa upande wa EFD machine

WanajamiiForums, naomba kuelekezwa kwa upande wa EFD machine

Adepety

Member
Joined
Apr 5, 2018
Posts
19
Reaction score
6
Wana Jfm naomba kuelekezwa kwa upande wa EFD machine,Nafanya mauzo kwa wateja ambao hawana TIN namba na VRN.Naomba kuelekezwa jinsi ya kuweka jina la mteja ili nikimkatia mteja risti jina lionekane kwenye risti niliyomkatia na kiasi chake.Nitashukuru
 
Mmh Mkuu Adepety naona kupata msaada hapa itakuwia vigumu kdg kwa sababu

1. Hujasema aina ya mashine ya EFD unayotumia

2. Lkn pia, mashine hy umenunua kwa wakala na hujaiokota au sio. Ss mawakala hutoa elimu ya namna gani mashine hy inatumika na vilevile hukuachia na kitabu/kijarida/karatasi ya maelekezo. Je hivi umepeleka wapi

3. Na mwisho nakushauri urudi kwa wakala aliekuuzia hy mashine ya EFD akakupe tena ujuzi wa matumizi ya hy mashine
 
Back
Top Bottom