Wana Jfm naomba kuelekezwa kwa upande wa EFD machine,Nafanya mauzo kwa wateja ambao hawana TIN namba na VRN.Naomba kuelekezwa jinsi ya kuweka jina la mteja ili nikimkatia mteja risti jina lionekane kwenye risti niliyomkatia na kiasi chake.Nitashukuru