Ucheshi kidogo, baadhi ya majina ya kipekee Jamiiforum
1. Kichwa kichafu
2.mpwayungu
3. Wa stendi
4. Bujbuji
5. Prakatatumba
6. To yeye
Hayo majina ya ukoo au?
Kuna huyu jamaa anaitwa mimiamadiwenani siku moja nikakaa kulitafakari hili jina kumbe ukilinyumbua unaopata Mimi amadi wewe Nani 😅...siku hizi simuoni kapotea sn