Hili hapaLa kwako liko wapi
Huu msemo 😂😂😂Hili nalo mkalitizame
Hahahaaa!!Kuna huyu jamaa anaitwa mimiamadiwenani siku moja nikakaa kulitafakari hili jina kumbe ukilinyumbua unaopata Mimi amadi wewe Nani [emoji28]...siku hizi simuoni kapotea sn
Naunga Mkono Hoja, Hata Mimi Nawashangaa.Sijui kwanini wanajipea majina ambao si ya kwao... Serikali iliangalie hili kwakweli