WanajamiiForums wote tuna Landcruisers

WanajamiiForums wote tuna Landcruisers

Ukipauza hapa utakunywa wiski na tekila kweli kweli. Landukruza na kama unavyodai utakula matunda kwa masihara!

Ila siku utakumbuka mbege ya bure....naona midizi hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana jobless wa kimataifa nipo humu ndani, Sina chochote hata ngozi yangu inaisha.
👉Nina sura mbaya kama kopo la chooni.
👉Sina kazi, Wala kibarua
👉Nimenusurika kufa ×200kisha walionikoa nikawatukana.
👉Mimi ni omba omba jeuri, Kama hauna kitambulisho Cha nida usiniambie.
 
ACHA KUTUKAANGIA SUMU MKUU, WENGINE HATUNA HATA BAISKELI HUMU.
 
Hapana jobless wa kimataifa nipo humu ndani, Sina chochote hata ngozi yangu inaisha.
[emoji117]Nina sura mbaya kama kopo la chooni.
[emoji117]Sina kazi, Wala kibarua
[emoji117]Nimenusurika kufa ×200kisha walionikoa nikawatukana.
[emoji117]Mimi ni omba omba jeuri, Kama hauna kitambulisho Cha nida usiniambie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeee
 
Shenzi! Mi mwenyewe hapa nilipo ni HOUSE BOY sina hata baiskeli halafu unasema wote tuna gari!!!
eeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom