Habarini wadau
Kwa wale single humu JF, ni kwa nini hatuintergret kwenye PM pia, sababu nataman laiti mdada mmoja angekuja PM aniliwaze jotokali, ila wapi!!
Badilikeni jamani, hem wadada njooni PM nafasi ni chache[emoji63] [emoji76] [emoji39] [emoji39]
SIEE WANAUME TUNATESEKA MNO!!! [emoji19]